Vitu 2 vya kumchangamsha mwanamke

#1 Mshawishi kupitia kitu anachokipenda
Unaweza kudahani hii haina umuhimu. Wanaume wengi hufikiri hivyo na hushangaa kwanini tu niongee kuhusu kitu ambacho msichana anakipenda. Kwanini wasichana nao wasiongee kuhusu vitu wanavyovipenda wanaume?

Wanawake huweza kufanya hivyo, japo hatujui. Wanawake wengi hujitahidi sana kujua wavulana hupenda kuongelea nini. Lakini, wakati unataka kumvutia msichana, ni muhimu ukajua ni kitu gani kinachoendelea kwenye mawazo yake. Sasa tambua kwamba, kujua kitu msichana anachokipenda haimaanishi, dhahabu, mitindo au vipodozi. Tofauti kati ya msichana na mvulana kwa namna ya kuishi imepungua sana kwa sasa(wanawake hufanya vingi ambavyo wanaume hufanya). Kwa maana hiyo ni rahisi kuwa na maongezi yenye kuvutia bila kuboa. Achana na mambo ya mahesabu, ichezo, teknolojia, amini yatakua poa tu maongezi yenu.

#2 Kuwa mcheshi(be funny).
Baada ya kumfanya atabasamu na kuyafurahia maongezi yako na yeye, ni muda wa kumuingia ndani zaidi kidogo. Kila mmoja wetu anamamabo yake ya siri ambayo hatupendi watu wote wajue labda mtu ambaye tunamwamini sana. Ili kumfanya ajiamini kwako, unatakiwa kumfanya awe na good time sana na wewe. Sasa hatuwezi kukuambia kabisa jinsi ya kumfanya mwanamke acheke. Lakini tunaweza kukupa mambo mawili ya kutumia. Usimwambie utani wowote wakati unaongea nae. Kuwa mwene furaha muda wote unaoongea nae.

Hii inaweza kukutatiza kidogo. Kwanza kuongea utani wa moja kwa moja kam mtu aliyekariri ni ujinga. Badala yake, ongea nae maongezi yatakayomfanya aone unamtania, na hapo naye ataanza utani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *