Njia 3 zilizothibitishwa za kumshawishi mwanamke akupende bila ya kumwambia

#1 Usioneshe unampenda sana.

Kwa muda mrefu, kumekuwa na utamaduni wa mwanaume kumwonesha mwanamke anampenda sana ili aweze kukubaliwa, na wanawake ndo wamejijengea utamaduni wa kufatwa. Hii inawapa wanawake uhuru wa kuchagua mwanaume wanayemtaka na kuwatema wasio wataka.

Japo, unaweza ukageuza mambo kwa kuwa karibu na mwanamke na kumfanya yeye ajue kwambw awewe haumuhitaji yeye au hauna lengo la kumtongoza au kumtaka, kwa maana hiyo huna haja ya kumuomba kitu yeye akukubalie. Punguza hisia, zisikuendeshe ssana hatakama unamuhitaji. Hii itamfanya mwanamke akuone wa tofauti kwa sababu wegi wanamsumbua lakini wewe haumsumbui, hivyo atajitahidi afanye kila linalowezekana ili akuvutie(Hivyo umegeuza kibao)..

#2 Wakati mwingine KATAA.

Usiwe mwepesi wa kukubaliana na kila jambo, wanaume wengi ili wakubaliwe huwa radhi kufanya lolote wanaloambiwa hatakama hana uwezo ili tu amvutie mwanamke. Kama kweli unataka kumvutia mwanamke , hautakiwi kuanguka kwenye huu mtego. Usimvutie kiti ili akae, usimnunulie kinywaji, muda mwingine puuza maombi yake, na ikiezekana kwa baadhi ya mambo useme “HAPANA”.

#3 Usiwe rafiki sana.

Jijue kuwa wewe ni mtanashati na mwanume halisi. Kama unaingia bar au mgahawani na huyu mwanamke anakuangalia tangu unaingia , nenda kakae kwenye kiti kilichopo karibu na yeye – ikiwezekana umtazame. Hapo mawazo yake yatakuwa yashampeleka kwamba unataka kumuagizia kitu eidha kinywaji au chakula.

Badala yake, achana naye na sura yako bila kujtabatamisha sana agiza kinywaji chako mwenyewe na usimwangalie tena, fata yako. Haya mambo yatampagawisha na itamfanya yeye sasa, afanye jambo lolote ili aweze kukuvutia.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *